Chid
Benz akikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa shoo ya Kikosi cha
Mizinga kutimiza miaka 13 iliyofanyika katika ukumbi wa New Msasani
jijini Dar es salaam usiku wa kuamukia Jumapili. (Picha zote na Habari Mseto Blog).
Fukuda akichana mistari
Katibu
wa CUF, Julius Mtatiro ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza wakati
wa shoo maalumkundi la muziki wa Hip Hop la Kikosi cha Mizinga kutimiza
miaka 13.
Baadhi
ya watu waliotoa mchango mkuwa kwa wasanii wa Kikosi cha Mizinga
walipewa vyeti, hapa mwandishi Joseph Zablon akionesha cheti chake baada
ya kukabidhiwa ba mgeni rasmi.
Kala Pina 'Nabii Koko' akitumbuiza
Afande Sele akipagawisha mashabiki.
Comments