Jumuiya ya waTanzania (TanzaSeattle) wajumuika kwa pamoja na kuaanda rasmi sherehe ya kimavazi ya Asilia yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya Jumamosi Jddune 8th 2013 Washington Seattle US
Mwana dada alievalia vazi la buibui kwenye Sherehe ya kimavazi ya Asilia
ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya
Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Amin a.k.a Dola Public Relations Officer Mayor wa Seattle alievalia
shati la asili ya kiAfrika pamoja na Dida alievalia kitamaduni
kwenye Sherehe ya kimavazi ya Asilia ya mTanzania yaliofanyika ndani ya
Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya Jumamosi June 8th 2013 Washington
Seattle US
Samia Mshangama pamoja na baadhi ya kina dada wakiserebuka ndani ya
mduwara katika Sherehe ya kimavazi ya Asilia ya mTanzania iliofanyika
ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya Jumamosi June 8th 2013
Washington Seattle US
Pichani Mwanahamis Moyo alietokeleza kwa vazi la kimasai kwenye Sherehe
ya kimavazi ya Asilia ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E
Bellevue Siku ya Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Mdau alievalia la vazi la kimasai katika Sherehe ya kimavazi ya Asilia ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Kijana alievalia vazi la kiasili ndani ya Sherehe ya kimavazi ya Asilia
ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya
Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Auntie Gilly alievalia vazi la Dira kwenye Sherehe ya kimavazi ya
Asilia ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya
Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Bwana Shabani Moyo a.k.a Tajiri wa Seattle na mdhamini wa pendo lake Bi
Sada waliovalia vazi la kiasili kwenye Sherehe ya kimavazi ya Asilia
ya mTanzania yaliofanyika ndani ya Ukumbi wa N.E Bellevue Siku ya
Jumamosi June 8th 2013 Washington Seattle US
Comments