Skip to main content

MAMA KIKWETE APOKEA TUZO YA MDG NCHINI MAREKANI



IMG_7012 Na Anna Nkinda – New York
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya Malengo ya Maendeleo ya Milinia ya mwaka 2013 kwa wanawake na Shirika la Voices of African Mothers (VAM) la nchini Marekani kutokana na kazi kubwa anayoifanya ya kusaidia jamii wakiwemo wanawake na watoto.Sherehe ya kukabidhi tuzo hizo zilifanyika hivi karibuni katika ukumbi wa

Comments