Leo tena wadau tunakutana hapa .
Mdau nikiwa na kamua na wadau tuliofika Kinyerezi kuwakilisha wikiend siku za nyuma sana , leo tena nipo hapa mdau.
Mdau aliyetualika akiwa katika engo ya kutoa bataaaa.
Mdau huyu utukutanisha wadau wake kila hifikapo katikati ya mwezi na mwishoni mwa
mwezi , wikiend ya leo basi makamuziii yatafanyika hapa. Ni the Blue Point Kinyerezi.
Comments