Lt.
Jenerali Paul Ignace Mella,Mkuu Mpya wa Jeshi la Mseto kati ya Umoja wa
Mataifa na Umoja wa Afrika maarufu kama UNAMID linalolinda Amani huko
DARFUR Nchini Sudan. Lt. Jenerali. Mella kutoka Jeshi la Wananchi wa
Tanzania ( JWTZ) anachukua nafasi iliyoachwa na Lt. Jenerali Patrick
Nyamvumba kutoka Rwanda ambaye amemaliza muda wake Machi 31,2013
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments