Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2013

South Africa's Mandela improving as Obama flies in

SOUTH AFRICA's ailing anti-apartheid hero Nelson Mandela is doing much better in hospital, his ex-wife Winnie said on Friday before a visit by U.S. President Barack Obama that will include a personal homage to the globally admired statesman. The faltering health of the first black president of South Africa, a revered symbol of racial reconciliation, has drawn world attention since the 94-year-old was rushed to hospital with a recurring lung infection nearly three weeks ago. Soma zaidi...

Mara nyingine tena kwa mdau Kinyerezi Mwisho-Kifuru to Hali ya hewa.

Kesho tena wadau tunakutana hapa .   Hapa yanaonekana mambo yaliyowahi kufanyika kipindi cha nyuma kidogo . huko hali ya hewa.   Managing Director/Marketing Manager. Francis A.Mrema Office: Fran`s Traders. P.o Box 63094. Dar Es Salaam, TANZANIA. Tel/Fax: +255 783 22 55 78 Kinyerezi Mwisho-Kifuru to Hali ya hewa.   Mambo haya yalipatikana hapo hali ya hewa siku sasa , ebwana kesho Jumapili tena wadau  mnakaribishwa tena .  Baadhi ya wateja wakiwa wamefika kupata moja moto moja baridi na bele wakiendelea kucheki mechi za Ulaya Live, pia ukwa eneo hilo licha ya kula bata unapata kutumia huduma ya mtandao bure .   Mdau aliyetualika akiwa katika engo ya kutoa bataaaa. Mdau huyu utukutanisha wadau wake kila hifikapo katikati ya mwezi na mwishoni wa mwezi , wikiend ya kesho  basi makamuziii yatafanyika hapa.  Ni the Blue Point Kinyerezi. Wakwanza anayetuangalia  ni mdau  Managing Director ...

Tumetoka Mbali; Viongozi Wetu Nao Walivaa Pekos !

Kutoka kushoto ni Sam Nujoma, Keneth Kaunda, Samora Machel, Julius Nyerere, Robert Mugabe na Augustino Netto.Chanzo ni http://www.mjengwablog.com/

Museveni in Dar for SMART Dialogue

Uganda’s President Yoweri Museveni is in the Tanzanian capital Dar-es-Salaam for the four-day 2013 SMART Partnership Dialogue. Museveni at a recent foreign visit. He is this weekend in Dar Museveni joins nine other Heads of State and Government . Apart from Heads of State and Government leaders, the dialogue has also attracted over 800 local and international participants. SMART Partnership Dialogue is a national and international consultative forum where governments engage with all sectors of society to share information, knowledge and expertise in finding solutions to development challenges. According to its proponents, the Dialogue is a unique forum found on a “prosper thy neighbor approach| in which citizens from every sector of society get to share the table with Heads of State and Government leaders where all are equal and speak openly, respectfully and truthfully in addressing complex development problems. President Museveni was seen off at ...

Meya Jerry Silaa awataka Watanzania kutunza na kulinda afya zao ili kujenga familia na jamii yenye afya bora.

Akitoa nasaha wakati wa kufunga wa zoezi la utoaji wa huduma za afya kwa uwiano katika jamii kata ya Gombo la Mboto, Mgeni rasmi Mh. Jerry Silaa, Mstahiki Meya wa halmashauri ya Manispaa ya Ilala amesema huduma za afya na afya ya mazingira ni muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu. Wananchi wa Tanzania wameelezwa kuwa kazi ya kuboresha huduma za afya na afya ya mazingira na maji ni ngumu na kuwa inahitaji nguvu za pamoja kati ya jamii, halimashauri na wadau mbalimbali ili kupata mafanikio yaliyokusudiwa hasa ya uzuiaji wa magonjwa.    Aidha amesema hilo ni moja wapo katika utekelezaji wa agizo la Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika lengo lake la kupeleka huduma za tiba zikiwamo zile za zinazohitaji madaktari bingwa karibu na wananchi. Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Dr. Asha Mahita akielezea dhamira ya Idara katika kuendeleza Afya ya Jamii kwa kusogeza Huduma za Afya karibu na Jamii, Huduma hizo zinahusisha matib...

Obama kukutana na familia ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela

Kushoto ni Rais wa Marekani Barack Obama, kulia ni mwenyeji wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma REUTERS/dailymail Na  Flora Martin Mwano Rais wa Marekani Barack Obama atakutana na familia ya mwasisi wa Taifa la Afrika Kusini Nelson Mandela, wakati huu ambapo shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi akiwa katika mapambano dhidi ya maradhi ya mapafu yaliyosababisha kuzorotesha afya yake. Taarifa toka nchini humo zimeeleza kuwa Obama ameamua kutomtembelea shujaa huyo hospitalini anakopatiwa matibabu mjini Pretoria ili kudumisha amani na utulivu katika eneo hilo. Rais wa Marekani Barack Obama, kulia ni mwenyeji wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma REUTERS/dailymail Obama amesema kuwa hakuwa na haja ya muda wa kupiga picha na Mandela kufuatia uvumi kwamba angeweza kumtembelea hospitalini kinara huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi na mshindi mwenzie wa tuzo ya amani ya Nobeli ambaye amelazwa katika hospitalini kwa zaidi ya majuma matatu sas...

Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Shirika la UNDP,Bi. Helen Clark,Pia akutana na Spika wa bunge la Oman ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam. Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kulia ni Naib...

Rais Kikwete akutana na Kiongozi wa Shirika la UNDP,Bi. Helen Clark,Pia akutana na Spika wa bunge la Oman ikulu jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam. Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kulia ni Na...

Guard against corruption, President Kenyatta tells PSs

President Kenyatta congratulates Interior principal secretary Mutea Iringo moments after he took the oath of office at State House, Nairobi June 27, 2013. The President told the principal secretaries to guard against corruption and ensure Kenyans get value from government services. STEPHEN MUDIARI President Kenyatta has told principal secretaries to guard against corruption and ensure Kenyans get value from government services.Sourcehttp://magangaone.blogspot.com/

Ajali mbaya yatokea katika eneo la maji masafi Kawetere Nje kidogo ya Jiji la Mbeya barabara ya Mbeya- Tabora Kichanga afariki dunia wengine wajeruhiwa.

Mtambo wa Wachina ukinyenyua gari la Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali eneo la maji mazuri Kawetere barabara ya Chunya likiwa linaelekea Tabora leo Asubuhi. Baadhi  ya abiria walionusurika  wakihamisha mizigo yao kutoka katika gari lililopata ajali ya Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali eneo la maji mazuri Kawetere barabara ya Chunya likiwa linaelekea Tabora leo Asubuhi. Wachina wanaojenga barabara ya Chunya wakishangaa gari la Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali eneo la maji mazuri Kawetere barabara ya Chunya likiwa linaelekea Tabora leo Asubuhi. Majeruhi wa ajali hiyo Ramadhani Kipese (45) akiwa na majeraha kichwani. Kondakta wa gari la Kampuni ya Sabena Seif Salum (34) akisaidia kuokoa mizigo ya abiria baada ya kupata ajali eneo la maji mazuri Kawetere barabara ya Chunya likiwa linaelekea Tabora leo Asubuhi. Gari la Polisi likiwa eneo la tukio kuokoa mizigo ya majeruhi walolazwa katika Hospital y...

New England Patriots star 'brutally gunned down his friend because he talked to the "wrong people" at a nightclub' - as he is arrested and charged with murder

By DAILY MAIL REPORTER New England Patriots star Aaron Hernandez picked up his friend Odin Lloyd at his house, drove him to an abandoned industrial park and brutally executed him with five gunshots - all because Lloyd talked to the 'wrong people' at a nightclub, prosecutors have revealed. Hernandez, a 23-year-old tight end who had a $37.5million NFL contract, was arrested at his mansion in North Attleboro, Massachusetts, on Wednesday and charged with murder and weapons violations. Less than two hours after his arrest, the Patriots cut Hernandez from the team - despite paying him a $12.5million signing bonus last year. The arrest caps off more than a week of intense media scrutiny. Lloyd, a semi-professional football player who was dating the sister of Hernandez's girlfriend, was found murdered execution-style less than a mile from Hernandez's $1.3million home on June 17. Charged: Aaron Hernandez was charged with murder and weapons c...

U.S. military chief recommends bolstering Lebanon, Iraq forces

A top U.S. military officer, General Martin Dempsey, recommends bolstering Lebanese and Iraqi forces. (File photo: Reuters) Reuters, Washington The top U.S. military officer said on Wednesday he has recommended bolstering Lebanese forces grappling with the fallout from Syria’s civil war by sending in military trainers and accelerating arms sales. General Martin Dempsey also said he had recommended helping Iraq better deal with the re-emergence of al-Qaeda. “We’ve made a recommendation that as we look at the challenges faced by the Lebanese Armed Forces, the Iraqi security forces with a re-emerging al-Qaeda in Iraq, and the Jordanians, that we would work with them to help them build additional capability,” Dempsey told reporters at the Pentagon. A spokesman said Dempsey’s recommendations were made “in recent weeks” during internal discussions with the U.S. military’s Central Command, as it deliberates how to respond to the growing, regional unrest. ...

Obama na familia yake kuzuru kisiwa cha Goree nchini Senegal

Na Ali Bilali Rais Barack Obama wa Marekani anataraji kuipongeza demokrasia iliokita mizizi nchini Senegal katika duru ya kwanza ya safari yake barani Afrika ambapo anataraji kutembelea jumba lililotumiwa wakati wa biashara ya watumwa iliopo kwenye kisiwa cha Goree, ikiwa ni ziara yenye mfano wa rais wa kwanza mweusi wa Marekani katika kisiswa hicho. Rais wa Marekani Barack Obama na Macky Sall wa Senegal derniereminute.sn Ziara hii ya Obama, barani Afrika itatamatika Julai 3, baada ya kutembelea nchini Afrika Kusini na Tanzania, hata hivyo, ratiba ya ziara hii inaweza kupanguliwa iwapo kutatokea taarifa ya kifo cha rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ambaye hali yake imearifiwa kuwa mbaya zaidi katika saa 48 zilizopita. Rais Obama amewasili jana Jumatano jijini Dakar akiambatana na mkewe Michelle pamoja na wanaye Sasha na Malia atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Macky Sall alhamisi hii na baadae kuendesha mkutano wa pamoja na vyom...

Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

Rais wa Marekani, Barack Obama Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amewashauri watu walioko mikoani kusitisha safari za kuja Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Marekani, Barrack Obama kutokana na wingi wa wageni katika jiji hilo. Ugeni huo pamoja na ule wa viongozi kumi na moja kutoka nchi mbalimbali duniani watakaohudhuria mkutano wa kimataifa wa Smart Partnership utakaofunguliwa kesho na Rais Jakaya Kikwete kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, umesababisha kuimarishwa kwa ulinzi katika maeneo mbalimbali hasa katika hoteli za kitalii ambazo zimeanza.... Soma zaidi...

Familia ya Mandela yakosoa wanahabari

TAARIFA kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48 zilizopita. Baada ya kumtembelea hospitalini, mwanawe mkubwa wa kike Makaziwa, alisema hali inaonekana kuwa mbaya lakini akaongeza kuwa Mandela anaweza kuwasikia jamaa zake wanapomuita huku akijaribu kufungua macho yake. Makaziwe amesema “Nimekasirishwa sana. Kwa sababu Mandela ni.. Soma zaidi...

Obama asifu Senegal kwa demokrasia

RAIS wa Marekani Barack Obama ambaye yuko katika ziara yake ya Afrika, amesifu nchi ya Senegal kwa kuwa moja ya nchi zenye demokrasia thabiti barani Afrika. Akiwahutubia waandishi wa habari nchini Senegal kwa mkondo wake wa kwanza wa ziara yake Afrika,baada ya mazungumzo na rais Macky Sall, Bwana Obama alisema kuwa Senegal iliandaa uchaguzi huru na wa haki pamoja na kuwa na kipindi salama cha mpito. Pia aliisifu kwa kuwa na mtindo wa kusuluhisha migogoro kwa... Soma zaidi...

Habari Zenu ndugu?

Zavara hapa. Nawatambulisha kazi mpya niliyofanikiwa kuipakua siku hizi za karibuni.. Hii kazi ni limbo uitwao In  The   Congo , limbo huh unahusisha kundi la Hip Hop tok a new York, Marekani liitwalo Rhyme Like A Girl wakimshirikisha mwanadada aitwae Nasambu msanii wa Afrosoul wa California Marekani ambaye ana asili ya kenya.  Wimbo huu ni juhudi za ushirikiano baina ya wasanii na mimi muandaji kujumuika na jamaa zetu wanaotaabika huko Kongo.  Kuna wimbo pamoja na video, pia viungo vyenye makala kadhaa zilokwisha andikwa kuhusu mradi huu.   In The Congo video yake ilizinduliwa kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la filamu huko Malaysia tarehe 30 ya mwezi wa tano mwaka huu.  ulifanyika uzinduzi rasmi Nairobi kenya wiki iliyopita, video hiyo imeteuliwa pia kuonyeshwa Zanzibar International film Festival, Salam Kivu tamasha la filamu huko Kongo mwezi wa saba. Husika kwenye huu mradi kwa kusaidia kusambaza huu wimbo kwenye mitandao ya ja...

International African Festival OUT NOW !

AFRIKAKTIV and the African Diaspora world-wide, welcomes you to the 4 th International Africa Festival Tübingen, a real showcase of Pan African lifestyle. This is an ideal opportunity to meet Africans of all background, culture, religion, gender as well as European who truly love and care about Africa!  International African Festival Tübingen is turning out to be a new pilgrim city just like Mecca, here we relax, share and celebrate our culture together as one big family. Be there this year!   BUSINESS AND SOCIAL FORUM:  WEST & EAST AFRICA!  THE NEW DIAMOND IN THE SKY?   GERMAN COMPANIES FOCUSES AFRICA! Desperate measures calls for desperate actions!  German companies goes WEST & EAST.  Learn more at our Business forum in Tübingen on Friday 9. August 2 -5 pm . Learn more here  http://www. afrikafestival-tuebingen.de/ en/BSF   AFRICANS ON THE MOVE – THE ...

The blue Point

Leo tena wadau tunakutana hapa .   Mdau nikiwa na kamua na wadau tuliofika Kinyerezi kuwakilisha wikiend siku za nyuma sana , leo tena nipo hapa mdau.   Mdau aliyetualika akiwa katika engo ya kutoa bataaaa. Mdau huyu utukutanisha wadau wake kila hifikapo katikati ya mwezi na mwishoni mwa mwezi , wikiend ya leo  basi makamuziii yatafanyika hapa. Ni the Blue Point Kinyerezi.