.
Kanye West amekubali mafanikio ya pop staa Justin Bieber mpaka kupelekea kuomba collabo na meneja wake.
Kanye ameanza kufanya kazi na ‘Scooter Braun’ ambaye atashirikiana na
meneja wa Kanye ‘Izzy Zivkovic’ kwenye album yake mpya ya ‘The Life of
Pablo’ na album ijayo ya ‘Turbo Grafx 16’ pamoja na Yezzy Collection.
Kanye West ni shabiki mkubwa wa Justin Bieber na hivi karibuni
alisema wimbo wake bora wa mwaka 2015 ulikuwa ‘What Do You Mean’ wa
Justin
Comments