Skip to main content

Kobe Bryant ameaga mashabiki katika maisha yake ya mpira wa kikapu


Kobe Bryant amemaliza maisha yake ya mpira wa kikapu kwa kufunga alama 60 dhidi ya Utah Jazz siku ya Jumatano usiku
Kobe Bryant amemaliza maisha yake ya mpira wa kikapu kwa kufunga alama 60 dhidi ya Utah Jazz siku ya Jumatano usiku
Nyota wa Los Angeles Lakers Kobe Bryant alicheza mechi yake ya mwisho ya NBA dhidi ya Utah Jazz siku ya Jumatano usiku.
Kobe akifunga dhidi ya Utah Jazz
Kobe akifunga dhidi ya Utah Jazz
Kobe, 37, alifunga alama 60 wakati Lakers walipoifunga Utah Jazz katika mpambano wa Ligiy ya Magharibi.
Kobe Bryant akimbusu mke wake kipenzi Vanessa
Kobe Bryant akimbusu mke wake kipenzi Vanessa
Shaquille O’Neal, Jack Nicholson na Jay Z walikuwa miongoni wa sura maarufu katika Uwanja wa Staples Centers, Los Angeles.
Kobe Bryant akiaga rasmi mashabiki wa mpira wa kikapu Staples Center, Los Angeles
Kobe Bryant akiaga rasmi mashabiki wa mpira wa kikapu Staples Center, Los Angeles
Hii hapa historia yake fupi katika mchezo huo;
48,618: Minutes played, the sixth most in NBA history.
33,630: Career points, third on the NBA’s all-time scoring list behind Kareem Abdul-Jabbar (38,387) and Karl Malone (36,928).
5,640: Points scored in the NBA Playoffs, third most in NBA history behind Michael Jordan (5,987) and Kareem Abdul-Jabbar (5,762).
81: Points in a 122-104 victory against the Toronto Raptors on Jan. 22, 2006, the second-highest total in NBA history behind Wilt Chamberlain’s 100-point game in 1962.
60: The amount of points he scored in his final game, against Utah Jazz on April 13. It was the sixth time he had scored 60 in a game, second most in NBA history behind Wilt Chamberlain (32).
50: A points tally he has achieved in a game 25 times, third most in NBA history behind Wilt Chamberlain (118) and Michael Jordan (31).
37: This season he became the first player aged 37 or older to score at least 25 points in three straight games since Michael Jordan at 40 in 2003.
24: Jersey number beginning in the 2006-07 season after switching from No 8.
20: Seasons with the Lakers, the most with one team in NBA history.
18: Consecutive All-Star Game selections (the longest streak in NBA history) and All-Star Game selections overall (the second most all time behind Kareem Abdul-Jabbar’s 19).
16: Appearances on Christmas Day, the most in NBA history.
15: All-Star Game starts, the most in NBA history.
13: Charlotte Hornets had the 13th pick in the 1996 NBA Draft when they took Bryant.
11: All-NBA First Team selections, tied with Karl Malone for the most in NBA history.
9: NBA All-Defensive First Team selections, tied with Kevin Garnett, Michael Jordan and Gary Payton for the most in NBA history.
5: NBA championships, tied with Tim Duncan of the San Antonio Spurs for the highest total among active players.
4: All-Star MVP Awards (2002, 2007, 2009, 2011), tied with Bob Pettit for the most in NBA history.
2: Finals MVP Awards (2009, 2010), Olympic gold medals (2008, 2012).
1: Kia NBA Most Valuable Player Award (2007-08).
Namna Staples Center ilivyokuwa wakati Kobe Bryant alipoaga rasmi kustaafu mchezp huo baada ya kucheza kwa miaka 20
Namna Staples Center ilivyokuwa wakati Kobe Bryant alipoaga rasmi kustaafu mchezp huo baada ya kucheza kwa miaka 20
Kwa taarifa zaidi soma hapa;http://www.dailymail.co.uk/sport/othersports/article-3539089/Kobe-Bryant-s-glittering-20-year-NBA-career-comes-end-Los-Angeles-Lakers-legend-bows-against-Utah-Jazz.html

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...