West Ham inawakaribisha mahasimu wao wa London Arsenal katika Uwanja wa Upton Park leo Jumamosi.
The Hammers walipata ushindi wa 2-0 katika mechi ya kwanza.
Arsenal wataondoa pengo la alama moja dhidi ya Spurs endapo watashinda mechi ya leo.
Wenyeji wamekuwa na rekodi nzuri Ligi Kuu msimu huu.
Vikosi
West Ham starting XI: Adrian, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Noble, Lanzini, Antonio, Carroll, Payet
Subs: Randolph, Valencia, Obiang, Moses, Emenike, Hendrie, Oxford
Arsenal starting XI: Ospina, Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal, Elneny, Coquelin, Iwobi, Ozil, Sanchez, Welbeck
Subs: Gibbs, Mertesacker, Giroud, Walcott, Ramsey, Chambers, Cech
Mechi inatarajiwa kuanza saa 2:45 mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
Comments