Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid
mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar jana kuzinduz Baraza la 9, [Picha na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la kikosi cha FFU wakati wa
Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikagua gwaride la kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini
Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la
Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Baraza la Wawakilishi
alipofika kulizindua Baraza la 9 la Baraza la 9 la Wawakilishi Baraza
la liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana(kulia) Spika wa Baraza la
Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid,[Picha na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akiongoza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir
Ali Maulid (mbele)na Katibu wa Baraza hilo wakati wakiingia katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbeni nje ya Mji wa Zanzibar jana kabla
ya kulizindua baraza hilo la 9,[Picha na Ikulu.]
Wajumbe
wa baraza la Wawakilishi wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
wakati alipoingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni
nje ya Mji wa Zanzibar kabla ya kulizindua baraza la 9 jana, [Picha na
Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake jana katika uzinduzi wa Baraza la 9 katika
hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya
Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono Wajumbe wakati
alipotambulishwa jana akiwa ni miongoni wa Viongozi walioalikwa katika
hafla ya uzinduzi wa Baraza la 9 la baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni
nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake
jana katika uzinduzi wa Baraza la 9 katika hafla iliyofanyika katika
ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na
Ikulu.]
Comments