Wanamuziki
wa bendi ya Inafrika toka Tanzania wakipata picha ya kumbukumbu
Nashville jimbo la Tennessee ambapo wapo tangia March 18, 2016mpaka
April 18, 2016 kwenye tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Dolly Parton
linalofanyika kwenye park iitwyo Dollywood iliyopo mjini humo. Tamasha
hilo hushirikisha bendi mbalimbali kutoka mabara yote, Bara la Afrika
liliwakilishwa na Inafrika Bendi kutoka Tanzania.
Wanamuziki wa Inafrika Bendi wakiwa katika picha ya pamoja na Dolly Parton.
Wanamuziki wa Inafrika wakipata picha ya kumbukumbu kwenye bango la Dollywood Park.
Picha ya pamoja.
Comments