BONDIA Shabani Madilu amabye amekuwa na umaarufu kutokana na kushiriki
mapambano mbali mbali nchini amewalalamikia waandaaji wa mapambano nchini
kutomwandalia pambano lolote kwa takribani miaka miwili sasa.
Madilu amesema kuwa anafikiri kuna hali ya chuki kati yake na waandaaji wa mapambano kwani ata mapambano mengine aliyowahi kupigana na kushinda ushindi umekuwa ikiupata kwa zengwe.
"Hali ya kukaa kwa muda mrefu bila kupata pambano inashusha kiwango cha bondia
najihisi vibaya kukosa mapambano kwani hata shreria za ndondi zinamshusha bondia asiye pata mabambano,"alisema.
Madilu alisema kuwa anahisi kupoteza moja ya mikanda yake ya ubingwa inayotambulika zaidi Afrika Mashariki kutokana na kukosa mchezo kwa muda mrefu
kutokana na waandaaji kutompa pambano.
Bondia huyo alisema kuwa hata pasi poti yake ya kusafiria ameanza kuona kama haitumii inavyotakiwa kwani amekuwa asafriki kwa muda .
Alisema mbali na kuwa na paspoti ya miaka kumi mpaka sasa imebakiza umri wa miaka minne mbele kumalizika kwa muda wake.

Comments