Msanii wa RNB Alicia Keys ametangaza ujio wa nyimbo mpya kupitia kurasa yake mpya ya SnapChat ‘AKStreetGoddess’.
Alicia amekuwa studio na producer Pharrell na Swizz Beatz
akitengeneza album yake ambayo ni muendelezo wa cd yake ya mwaka 2012
‘Girl on Fire’.
Alicia Keys pia anajiunga na timu ya kipindi cha “The Voice” kama kocha wa washiriki kwenye msimu wao wa 11.
Comments