Skip to main content

Hatimaye Alexis Sanchez awapoza mashabiki


Bongo fun



IKICHEZA kwa kujiamini na kutawala mchezo, Arsenal imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya West Brom huku mashambuliaji wake, Alexis Sanchez akionyesha kiwango cha juu.

Pamoja na ushindi huo Arsenal ilicheza mchezo huo ikiwa na upungufu wa mashabiki ambapo Uwanja wa Emirates haukujaa kama ilivyokawaida yake kutokana na mashabiki kususia kiaina mchezo huo kama walivyosema mapema wiki hii.Arsenal ambayo kwa ushindi huo imefikisha pointi 63 na kurejea katika nafasi ya tatu ya msimamo huo ikiishusha Manchester City iliyokuwa juu kabla ya mchezo huo wa jana usiku kwenye Uwanja wa Emirates, imerejesha matumaini ya kupambana kuwania ubingwa au nafasi mbili za juu katika mechi nne zilizosalia.

Sanchez ambaye katika mechi nane zilizopita amehusika kwa katika mabao 9 ya timu yake kwa kufunga sita na kutoa asisti 3, alianza kufunga katika dakika ya 6 kisha kuongeza la pili katika dakika ya 38 kwa kupiga faulo nzuri kutoka nje ya eneo la 18 iliyojaa wavuni moja kwa moja.Matokeo hayo yanaifanya West Bromwich Albion kuendelea kubaki katika nafasi ya 14 ikiwa na pointi 40 nayo ikiwa imesaliwa na mechi nne kumaliza msimu kama ilivyo kwa Arsenal.

Michezo ya Arsenal iliyosalia katika ligi hiyo ni dhidi ya Sunderland, Norwich City, Manchester City na Aston Villa.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...