Balozi Seif akiwaahidi Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele hatua zitakazochukuliwa na Serikali juu ya matatizo yao likiwemo la kulipwa haki zao.Picha na – OPMR – ZNZ.
Mmoja wa Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele akiwasilisha malalamiko yao mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani wakidai kutolipwa mishahara yao kati ya miezi mitatu hadi Minane.
Mwakilishi wa Kampuni ya Agro Tec ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bidi ya Uongozi wa Kampuni hiyop Bwana Soud Moh'd Achili akitoa ufafanuzi mbele ya Balozi Seif kuhusu shutuma zilizotolewa na Wafanykazi wa shamba la Mipira Kichwele dhidi ya Kampuni yake.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shama la Mipira Kichwele wakifuatilia mkutano wakati wakiwasilisha malalamiko yao kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif dhidi ya muwekezaji wa mradi huo. (Muro)
Comments