Wakati wanawake wengi wanafanya upasuaji kuongeza ukubwa wa makalio
yao, msanii wa rnb K. Michelle amesema anampango wa kupunguza makalio
yake.
K Michelle aliwahi kukiri kuongeza makalio yake amemjibu shabiki
twitter kuwa anapunguza makalio yake iliaweze kuigiza kwenye filamu mpya
anayocheza.
“Good for you! I’m about to decrease mine for a movie,”
Comments