Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka
malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko
wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote East East aka muke
mtarajiwa wa the big super star from East Africa Diamond platnums
aitwaye zari the bosslady anaungana na bosslady mwenzie huddah the boss
chick kutoka Kenya kuja kuwavuruga watoto wa Tz, ni pale pale Mlimani
city, tarehe ni ile ile, unaanzaje sasa kukosa? "Ambie Rafiki yako
awaambie rafiki zake kuwa tarehe 01/5 KINANUKAA!!! " (In zaris voice
).ahahahah hahah shemeji umeuaaa!! Nakupendaga ujue?
.jpg)
Comments