Mitandao ya kijamii
Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii
kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia
kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza.
Mamia ya
waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Buruni ,Bujumbura kwa
siku ya nne ya ghasia kutokana na uamuzi wa rais kwa kuwania muhula wa
tatu.
Comments