HOLLYWOO ,India
HUKO nchini India kuanzia April 23 maelezo juu ya
kueleweka ujuo wa filamu mpya ya Rush Hour toleo la
nne linawafanya wadau kukuna vichwa.
Picha ya billboard iliyopo mjini Hollywood toka tarehe 23 April inafanya wadau kuumiza vichwa vyao kutokana
na hali ya kuwa gumzo kubwa katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kuwa filamu ya Rush Hour toleo la nne inakuja kubamba upyaa.
Kuhusu ukubwa wa jambo hili , kwa sasa wadau wameanza kuiona kwenye akaunti ya instagram ya Diddy ambaye ni muigizaji na mwigizaji mwingine Byung-hun Lee, huku picha ikiwa imeambatana na ujumbe “The Rush is back,”.
Comments