Maafisa
Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya
pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi kuhusiana na
mafuta na gesi asilia, katikati ni mmoja wa wenyeji wa maafisa hao.
Mkurugenzi
wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na
Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta
na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China.
Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat
Ali Mbarouk.(Picha na Juma Mohammed, MAELEZO China) (Muro)
Comments