Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini-Chadema Philemoni Ndesamburo Atangaza Rasmi Kutogombea Tena Jimbo la Moshi Mjini Amnadi Mrithi Wake
Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika viwanja
eneo la soko la Manyema akiwa ameongozana na Diwani wa kata ya Mji
Mpya ,Abuu Shayo na Stephen Ngasa wa kata ya Kiusa.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya
kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini.
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge
katika jimbo hili wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi
oktoba.
Mstahiki Meya a manispaa ya Moshi,Jafary Michael akihutubia
mamia ya wananchi waliofika katika mkutano huo uliofanyika katika
viwanja vilivyoko jirani na soko la Manyema .
Mmoja
wa wafuasi wa Chadema akiwa amekaa chini akifuatilia mkutano
huo.
Mamia
ya wananchi katika mji wa Moshi wakishangilia hotuba iliyokuwa
ikitolewa na Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary
Michael.
Mamia
ya wananchi wakimsikiliza Ndesamburo.
Baadhi
ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema
uliofanyika katika eneo la soko la Manyema.
Katibu
mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi
na Diwani wa Kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano
huo wa hadhara.
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Clement Kwayu wakati wa
mkutano wa hadhara.
Mstahiki Meya ,Michael akiwa amekaa kando ya Mbunge ,Philemoni
Ndesamburo .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Comments