Kuanzia
sasa mtu atakayepimwa na kugundulika kuwa na VVU nchini Afrika Kusini
hatapewa ushauri nasaha peke yake, bali pia atachorwa tattoo kuonyesha
kuwa ameathirika.
"Alama
hiyo itawasaidia watu wote ambao hawawezi kujizuia kufanya ngono. Kama
mtu hawezi kujizuia basi itabidi kuchunguza jirani na sehemu nyeti
ambapo tattoo hiyo itachorwa. Uamuzi wa kupata maambukizi ya VVU utakuwa
mikononi mwa kila mtu sasa. Tunawaomba wale wote ambao wanaishi na VVU
waende kwenye vituo vya afya vilivyo karibu yao waweze kuchorwa tattoo
hizo." Alisema Rais Zuma baada ya kusaini muswada huo ma kumeza vidonge
vya ARV.(KILONGE)
Comments