Mapaparazi wamkuwa wakiwafuatilia mastaa wa kike wenye makalio
makubwa ili kujua kama feki au yakuzaliwa nayo.Watu maarufu Kim
Kardashian, Nicki Minaj, Amber Rosa na Blac Chyna.
Hivi karibuni picha zimesambaa za mama mtoo wa rapa Tyga kuwa umbo lake kwa nyuma [Makalio] ni feki, Blac Chyna ambaye zamani alikuwa stripper alisadikiwa kuwa alifanya upasuaji ili kuongeza makalio.
Blac Chyna alikanusha tuhuma hizi nakusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Comments