Skip to main content

TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHON

Timu ya waendesha baiskeli  ya Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza  mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar  Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya Green  Oysterbay jijini Dar es Salaam,   ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.

Timu ya  Wanawake waendesha baiskeli  wa Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza  mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar  Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya Green  Oysterbay jijini Dar es Salaam,   ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.

Timu ya waendesha baiskeli  ya Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye   mashindano ya   mbio za Kilomita 21.1 ya Rotary Dar  Marathony zilizoyofanyika katika viwanja vya Green  Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.

Mwendesha baiskeli wa timu ya wanawake  wa Vodacom Tanzania PLC, Gloria Mtui  akishirikiki katika mbio za kilomita 21.1 za Rotary Dar  Marathony zilizoyofanyika katika viwanja vya Green  Oysterbay jijini Dar es Salaam,   ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.

Comments