Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi
na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited ndg. Noel
Lindsay Simth baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya
Njombe baada ya kukifungua.
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua.
Comments