Hatimaye ile video ya ngoma ya "Kukunja Goti" iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu finally imetoka.
Ngoma hiyo ambayo imeimbwa na rapper A.Y pamoja na MwanaFa wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria wameachia rasmi i kwenye media tofauti pamoja na online.
Shooting ya video hii imefanyika nchini South Africa huku audio ikiwa imefanywa ndani ya Studio ya Mj Record chini ya Producer Marco Chali.

Comments