Skip to main content

Ripoti ya upelelezi ya Kenya yaonyesha usumbuaji wa uwepo wa al-Shabaab huko Garissa


Ukweli kuhusu kiasi cha uwepo wa al-Shabaab na ushawishi katika kaunti ya Garissa kaskazini mashariki mwa Kenya, ambayo ilionyeshwa katika ripoti iliyovuja ya Shirika la Upelelezi la Taifa (NIS), imewaacha viongozi na wakaazi wa kaunti katika matatizo.

Mwanamke aliyekaa kando ya mtoto aliyejeruhiwa kwenye Hospitali Kuu ya Jimbo la Garissa tarehe 4 Novemba, 2012 baada ya shambulio la guruneti katika kanisa ambalo lilisababisha kifo cha askari polisi mmoja na watu wengine 14 kujeruhiwa. [Stringer/AFP]

"Idadi kubwa ya mashambulio ya kigaidi ambayo Garissa imekumbana nayo ikilinganishwa na kaunti nyingine katika nchi ni uthibitisho kwamba al-Shabaab ni miongoni mwao," Seneta wa Garissa Yusuf Haji aliiambia Sabahi.

"Wakati wa hatua za awali na kwenye kilele cha shambulio, Garissa ilichukuliwa kama makao makuu ya kikundi hiki," alisema, akiongezea kwamba al-Shabaab walihamisha operesheni zao kwenda Kenya baada ya Somalia na vikosi shirika kudhibiti kikundi hicho cha wanamgambo katika ardhi yao ya nyumbani nchini Somalia.

Ripoti ya hali katika kurasa 32 zilizo ndani ya waraka wa NIS, ambayo iliandikwa tarehe 26 Aprili, 2013 lakini ilivuja kwa wananchi baada ya shambulio la al-Shabaab kwenye kituo cha biashara cha Westgate mwezi uliopita, inaelezea ukweli unaosumbua.

Wafanyakazi wa Amniyat, sehemu ya kitengo cha upelelezi cha wasomi cha al-Shabaab, kimechagua Garissa kama "ngome inayopendelewa kwa ajili ya operesheni zao ambapo waliweka miundombinu kuwezesha shughuli zao", kwa mujibu wa ripoti.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...