Mambo ya D na P
Mapenzi ya ukweee'
Wasafiiiiiiiiiiiii na unambiwaa ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS.
Well picha zinaongea tena sana na hii ilikuwa ni jana katika party ya
Birthday ya Prezident wa Wasafi Diamond Platnumz. Party ilikuwa na watu
wengine kama vile dada zake Diamond Halimakimwana, Queen Darleen &
Esma Platnumz.
Dada ya Diamond aka wifi yake Penny akionjeshwa cake.
Wishing you guys all the best kwenye mapenzi yenu.
Waacheni Walale #sawaaaaaaaaaaaaaa
Comments