NIYULE mdada wa Kanye West, Kim Kardashia,ameachia
picha kwenye mtandao wa Instagram, akiwa amevaa nguo za ndani tu. Ili kuonesha
umbo lake tokea kujifungua kwake.
Picha hiyo imezua mzozo mkubwa katika mitandao ya kijamii na watu wengi kufunguka kuusiana na picha hiyo. Na wengine kumsema kuwa ameshindwa kujiheshimu kufuatia kuwa kwa sasa yeye ni mama na anatakiwa kujiheshimu.
Comments