Skip to main content

MSHIRIKI BIG BROTHER ATUPIA TENA PICHA TATA MTANDAONI


         
Mrembo Huddah ambaye alikuwa akizozona na   diva wa clouds fm wakimgombea prezoo ambae wote kawamwaga.
Huddah aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu bila aibu... na hata apondwe vipi huyu dada bado hakomi tabia hii ya kutupia picha tata mtandaoni .Hudda ni mkenya ambaye aliwakilisha nchi yake katika Bigbrother the chase 2013.kupitia account yake ya Instagram jana usiku aliweka picha akiwa ameinama yuko UCHI huku akitukana mafans wake (Kwa d**e la Ka*i)
Inavyo hofiwa na wanahabari wengi wa nchini kenya huyu dada Huenda yuko mbioni kuachia video chafu ...Baada ya muda mrefu sana kuwa anatoa picha za utupu..
http://1.bp.blogspot.com/-FH_uLpHDHl4/UlKKj1Q6LVI/AAAAAAAAACQ/-z03ZzsmdGM/s1600/Capture.PNG

MSANII LINAH AVISHWA PETE YA UCHUMBA

 Msanii wa bongoflava Lina Sanga ameonyesha pete ya uchumba aliovalishwa hivi karibuni na mtu ambae bado hajawekwa wazi,hipi punde utajua tu kupitia blog hii.

Comments