Usaili wa kumsaka kijana mtanashati
ulifanyika jana katika ukumbi wa maraha club Bilicanas,ambapo models
sita waliingia katika top ten na wengine wanne wakiendelea kusakwa.
Fainali za mashindano haya yatafanyika club Bilcanas Nov 1 ,usikose kutizama Unique entertainment blog kwa habari zaidi.
IMEDHAMINIWA NA:REDBUL,BREEZER,CLUB BILCANAS,ROBY ONE FASHIONs,POP-UP COLLECTION,A.F.R CLOTHING LINE na UNIQUE ENTERTAINMENT BLOG.
Shindano hili linaratibiwa na Angels Entertainment ltd.

Comments