WIZARA ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto imewatadharisha
wananchi waishio mpakani mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo (DRC) kuwa
makini na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ulioripotiwa katika nchi hiyo .
Akizungumza nawaandishi wa habari jijini Dar es salaam jana Waziri wa afya na maendeleo
yajamii jinsia wazee nawatoto Ummy Mwalimu amesema kuwa kumekuwa namlipuko wa ugonjwa huo katika nchi ya DRC kama ilirivyoripotiwa na shilika la afya duniani WHO Katika maeneo ya
kivu kasikazini katika nchi hiyo .
''Wizara inapenda kutoa tahadhari kubwa yaugonjwa huu kwa wananchi wote katika mikoa yote
hasa inayopakana na nchi ya jirani ya DRC hasa mikoa ya Mwaza ,kagera Kigoma katavi Rukwa
pamoja nasongwe,"Alisema Ummy Mwalimu .
Alisema kuwa kufuatia mlipuko wa wa ugonjwa huo katika nchi ya DRC
serikali kwakushirikiana na shilika la afya duniani inafanya juhudi mbalimbali katika kudhibiti
ugonjwa huo kwa kuongeza hali ya ufuatiliaji wa wasafiri wanao pita katika mipaka kutokea nchi
jirani ilikuweza kudhibiti ugonjwa huo.
Aidha alisema kuwa ugojwa huo wa ebola husababishwa na virusi ya ebola vinavyosabisha homa ya ebola ambapo hali hiyo hutokana na binadamu anapogusana namyama aliyeathirika na ugonjwa huo ikiwemo sokwe nyani pamoja na popo .
''ugonjwahuu wa ebola huambukizwa kwanjia majimaji yanayotoka mwilini ikiwemo damu ya mtu aliye ambukizwa virusi vya ebola ,sambamba na kugusa nguo shuka au godoro lililo tumiwa na mgonjwa wa ebola ''Aliongeza WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu
Waziri ummy aliongeza kuwa sambamba na njia hizo za uambukizwaji wa ugonjwa huo pia ugonjwa huo huambatana na dalili za homa kali ya ghafla kulegea mwili maumivu ya misuli,pamoja na kuumwa kichwa na vidonda kooni .
Aliongeza kuwa dalili nyinginezo nipamoja na kutapika kuharisha vipele vya ngozi na figo pamoja na inikushindwa kufanya kazi .''Baadhi yawagonjwa hutokwa damu nyingi ndani nanje ya mwili ''Alisisitiza .

Comments