Msanii wa muziki wa bongo fleva Gerald John ama Mbega 100% ameanza kusambaza
kazi yake iitwayo Never It You iliyotengenezwa kwenye studio za Napoli Dar es Salaam
Amsema kuwa wimbo huo umezungumzia maisha ya mapenzi na kuwa ndio mwanzo mpya kwake
kufikia mafanikio ya kimuziki nakuwa amemshukuru meneja wake Khalfan Athumani kwa kutoa
sapoti yakatika kurekodi ngoma hiyo.
"Mbali na muziki mimi pia ni fundi boda boda kwenye maeneo ya Boko jijini hapa".
Comments