Aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa Chama cha CUF Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho nakujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM huku akisema kuwa huu ni wakati wake wakwenda kutumia vipaji vyake kikamilifu pia kuwa balozi mkubwa wa Rais Magufuli Ndani na nje ya Nchi amefunguka kuhusiana na kiongozi anaeikua chama hicho.

Comments