Lina
mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva kutoka kundi la THT
akicheza na Tausi mmoja wa mashabiki waliojitokeza katika tamasha la
Serengeti Fiesta 2012, linalofanyika kwenye uwanja wa Samora Usiku huu
mjini Iringa ambapo wasanii mbalimbali wanafanya vitu vyao jukwaani
wakiburudisha mashabiki wa mkoa wa Iringa, Lina ameweza kufanya mambo
makubwa na kuwaimbisha mashabiki wake ukizingatia kwamba anatoka mkoa
huo
Meneja
Masoko wa kampuni mya Push Mobile Rugambo Rodneyakipiga picha ya pamoja
na mmoja wa Ali Mohamed Sanga kazi wa Mshindo Iringa mjini ambaye ni
mshindi wa moja ya pikipiki
Amini akiimba jukwaani katika tamasha hilo
Comments