Bondia Fransic Cheka akinyooshwa mkono juu na mmoja wa mashabiki wa
Kigeni waliokuja kuangalia mpambano wake dhidi ya Karama Nyilawila Cheka
alishinda katika raundi ya sita baada ya karama kusalimu amri kushoto
ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa na wa pili kulia ni mgeni rasmi Kamanda
wa polisi wa Kanda Maalumu Mkoa wa Dar es salaam Suleiman Kova.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments