Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete akimjuapisha Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa vikosi vya Ulinzi na Usalama na waapishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha pamoja na Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba na familia yake baada ya kiapo
Comments