Usafiri wa baadhi ya wadau waliofika Kinyerezi kwa mdau.
Ebwana huku ndiko tulikokutana wadau kula Bata za wikiend kwa mdau .
Mdau huyu alikuwa akiandaa Kachumbali.
Mdau nikiwa na kamua na wadau tuliofika Kinyerezi kuwakilisha wikiend.
Mdau aliyetualika akiwa akiwa katika engo ya kutoa bataaaa.
Mdau huyu utukutanisha wadau wake kila hifikapo katikati ya mwezi na mwishoni mwa
mwezi , wikiend ya jana basi makamuziii yalikuwa ki hinyo. Ni the Blue Point Kinyerezi.
Comments