Skip to main content

Balozi wa Marekani nchini Libya auawa


Mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Marekani mjini Benghazi, Libya.Balozi wa Marekani nchini Libya na wafanyakazi wengine wa ubalozi huo wameuawa kutokana na mashambulizi ya roketi katika mji wa Benghazi yanayohusishwa na maandamano ya Waislamu kupinga filamu inayomkashifu Mtume wao.

Afisa mmoja wa serikali ya Libya amethibitisha kwamba Balozi Chriss Stevens na wafanyakazi wengine watatu wa ubalozi huo waliuawa kwa roketi lililorushwa kwenye gari ya ubalozi. Hata hivyo, haikubainika mara moja kama balozi huyo alikuwamo kwenye gari iliyoshambuliwa, au alikufa usiku wa kuamkia leo, baada ya waandamanaji wenye silaha kuuvamia ubalozi huo mjini Benghazi.

Waandamanaji hao walikuwa wamekasirishwa na filamu moja ya Hollywood ambayo inayakashifu kiongozi wa Waislamu, Mtume Muhammad. Maandamano kama hayo pia yalifanyika mjini Cairo, Misri, ambako maelfu ya waandamanaji waliuvamia ubalozi wa Marekani, lakini bila kuwapo visa vya mashambulizi. 

Wakristo wa madhehebu ya Koptik nao wamekusudia kufanya maandamano kupinga filamu hiyo, wakisema kuwa ni matusi kwa imani za watu wote.

Romney apata mwanya

Mgombea wa urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Mitt Romney, amelitumia tukio hilo kuushambulia utawala wa Rais Obama kwa kuwa pamoja na waandamanaji wa Kiislamu wenye siasa kali na sio pamoja na Wamarekani.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.