
Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas akiwa ni mwenye furaha
baada ya kutajwa kuwa mshindi na kujinyakulia taji hilo baada ya
kuwashinda warembo wengine 11 katika kinyanganyiro hicho cha aina yake.

Redd’s
Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas (katikati) akipunga mkono kwa
furaha akiwa na mashindi wa pili Irine Veda (kulia) na mshindi wa tatu,
Joyce Baluhi mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa washindi wa
shindano hilo lililofanyika mjini Morogoro usiku wa Septemba Mosi, mwaka
huu. Warembo hawa wote watashiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania
2012 baadae mwaka huu.Inatoka kwa mdau.
Comments