TAARifa kutoka wa kalulunga.blogspot.com zimesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani
Mbeya Sambwee Shitambala
ameshinda nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Mbeya Mjini.
Na
taarifa zisizorasmi zilizotufikia kutoka wilayani Rungwe zimesema kuwa
Prof. Mark Mwandosya naye amepata kura za ndiyo na kushinda wilayani
humo.
Comments