Kama kawaida kama Dawa babuu wadau wa The Blue Point inayo husika na bango hilo hapojuu, watakutana kula bata kuanzia
saa nane mchana sikuya jumapili , huku wakitazama mpira katika eneo hilo la The Blue Point lililopo Kinyerezi Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa meneja masoko wa The Blue Point amesema kuwa nikawaida iliyowekwa
kwa wadau kukutana kila jumaili ya mwishoni mwa mwezi kushereheka ama kula bata kila.
Haya sasa wadau J'pili hii sindio hiyo ya Sept 23.
Comments