Skip to main content

WAZIRI WA MAJI PROF.MARK MWANDOSYA AKIZUNGUMZA NA HALMASHAURI MBALIMBALI NCHINI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya akizungumza na wataalam wa sekta ya maji (hawapo pichani) kutoka Halmashauri mbalimbali nchini wakati wa hafla ya kukabidhi magari 61 na Mashine za kudurufu 61 kwa halmashauri za mikoa 11 kusaidia Programu ya Maji na usafi wa mazingira vijijini leo jijini Dar es salaam.
SERIKALI imewatahadharisha Wakurugenzi wa Halimashauri nchini kutotumia magari yaliyotolewa kwa ajili ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira vijijini katika shughuli nyingine nje ya utaratibu uliowekwa.
Hayo yalisemwa jana (leo) na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya wakati wa hafla fupi ya kukabidhi baadhi ya halimashauri magari 61, kati ya 125 na mashine za kudurufu 56 kati ya 171 iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Magari hayo kila moja lina thamani ya sh. milioni 63.5 na mashine hizo sh. 460,000 kila moja yamekabidhiwa kwa halimashauri hizo ,kwa ajili ya kusaidia kutekeleza programu hiyo ili kuboresha huduma za maji nchini na kuinua maisha ya wananchi.
Magari mengine yanatarajiwa kuwasili mwisho mwa Machi.“Napenda kuchukua nafasi hii kuwasihi mchukue dhamana ya kuyatunza magari haya. Mhakikishe yanatumika kwa malengo yaliyokusudiwa .Yasitumike kwa shughuli nyingine au shughuli binafsi. Msiuziane magari haya,”alisema Profesa Mwandosya.
Waziri Mwandosya aliwaagiza kuwa wahakikishe wanayafanyia ukaguzi wa kiufundi magari hayo mara kwa mara na kwa wakati kama inavyotakiwa kupitia maelekezo yaliyomo kwenye vitabu husika.Aliongeza kuwa katika matengenezo na ukaguzi watumie karakana za halimashauri na kuwasiliana na kampuni ya Toyota wanapohitaji ushaur au maelezo ya kiufundi, huku watumie madereva wenye ujuzi na kuwataka wasiwadilishe mara kwa mara isipokuwa pale inapobidi.Tutawapatia nyezo za kufanyia kazi hakikisheni wananchi wanapata maji,” alisisitiza. Katika hafla hiyo Waziri Mwandosya alikabidhi magari manne za ambazo ni Biharamulo, Longido, Mpanda na Rorya.Waziri Mwandosya alizitaka mamlaka za maji kubaini vyanzo vya maji na kuvitunza.
Alisema idadi ya watu wanaopata majisafi na salama kwa upande wa vijijini imeongezeka kutoka asilimia 53.5 mwaka 2004/05 hadi kufikia asilimia 61 kwa mujibu wa twakimu za Desemba mwaka 2009.Hivyo wanatarajia mwishoni mwa mwaka huu itakuwa ni asilimia 63, wakati malengo ya Millinea ya kuwapatia maji safi na salama wananchi wa vijijini ni asilimia 65 ifikapo mwaka 2010.
Kwa upande wa miji ya mikoa makuu ya mikoa alisema idadi ya watu wanaopata maji hayo imefikia asilimia 84, lakini changamoto ipo Dar es Salaam ambapo wameweza kufikisha asilimia 68, wakati lengo la millinea ni kuongeza kutoka asilimia 73 hadi asilimia 90 ifikapo mwaka 2010.
Waziri Mwandosya alisema ili kukabiliana na changomoto ni vema mipangomiji iende sambamba na huduma za maji na umeme

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...