Jumamosi jijini Dar es salaam , kutafanyika Bash ya watoto wa IFM ambapo watakuwa na Michano Free Style pamoja na mashindano ya Beach Volleyball na Beach Football katika Fukwe ya Pub ya Chadibwa 2 km from Kigamboni Ferry baada ya Mikadi.Bash hiyo wameipa theme ya Stress Free Party baada ya matkeo ya mitihani si unajua tena. wameamua kukutanisha pande mbili Smoke Zone na Screen Savers, Smoke zone ni wale wanafunzi wagumu (Ndumu kwa sana) na Screen Savers ni wauza Sura.Mshindi kati ya hao wote watapata Free Recording Deal kwa Studio moja mpya ya mtoto mmoja Mbongo toka Mamtoni na Freen Membership Card kwa 1 Year pale Chadibwa ambapo watapata 10% Discount kwa vinywaji na Vilaji kwa kipindi hicho cha Mwezi mmoja.Kaka wewe Membership Card yako ipo Mkuu.Vile vile kuanzia Jumamosi ya Tarehe 27 this week kutakuwa na Disco ambalo litaporomoshwa na ma Dj watatu Dj John Dilinga, DJ Q na DJ Juicy.
Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO
By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...
Comments