Skip to main content

HII EBWANA LAZIMA UKUBARI NI SHUGHULI NDEFUUUU

KAZI kama hii inafanya wadau kutokukosa kila jumatano usiku Club Billicanas
ukumbi uliopo katikati ya jiji la maraha Dar es Salaam.
Ni makamuzi ya bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta.

Comments