kuwa kando na bendi hiyo kwaajili ya matenet live , usiku huo alifanya mambo makubwa anaitwa Fatuma .
WAKWANZA kutoka kulia ni mwana muziki wa bendi ya Twanga Pepeta Diof (Pichani) akiongea na Ismail ambyeni mfanyabiashara maarufu jijini wa Magari na wamwisho ni mrembo babuuu akiwa kachil akisikilizia maongezi usiku wa jumamosi Mangogarden Kinondoni Jijini Dar.
WAKIWA wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta katika mkao wa kusikilizia kuanza kutekeleza majukumu jumamosi iliyomalizika
MWANAMUZIKI wa Twanga aliyesimamaKhalid Chokoraa kisalimiana na washabiki wa bendi yake ya hiyo Jumamosi usiku , karibuni sana nyinyi washabiki kutoka Tabora.
Comments