
Mbele ya picha ni Chupa ya Shampeni iliyoshikwa , na aliyevalia vazi jeusi ni Jamillah akimmimi nia Shampeni kwenye grasi mmiliki wa blog hii Machibya.

Baadhi ya waalikwa wakionekana kuwa na furaha tele kwenye besidai jana.

Keki ikiwa besidai ya Jamillah,
muda kidogo mzazi nitazirusha hapa picha za walio fika katika basidei hiyo watu flani flani hivi kudadeki.....
Comments