Skip to main content

NI Mishe Mishe ya Mchana Kutwa Hapa!!

HILI ni eneo maarufu hapa Bongo , nimaarufu sana kwa kutengeneza magari mabovu na liko bize ile mbaya na linauza vifaa vingi vya magari ni kitaa hicho cha Gerezani , cheki baadhi ya vijana Pichani walivyo na sghuli katika majukumu yao ya kila siku.

Comments