Skip to main content

DK ASHA ROSE MIGIRO AFUNGUA MKUTANO WA 54



NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA , DK. ASHA-ROSE MIGIRO AKIFUNGUA MKUTANO WA 54 WA KAMISHENI YA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU HALI YA WANAWAKE, MKUTANO HUO PAMOJA NA MAMBO MENGINE UTAFANYA TATHIMINI YA UTEKELEZAJI WA TAMKO LA MKUTANO WA NNE WA WANAWAKE ULIOFANYIKA BEIJING MWAKA 1995. RASI WA MKUTANO HUO ALIKUWA MHE, GETRUDE MONGELA AMBAYE NAYE ANAHUDHURIA MKUTANO HUO.. (PICHA NA TAARIFA KWA HISANI YA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFAIkiwa ni miaka kumi na tano sasa tangu kupitishwa kwa Tamko la Beijing kuhusu Hali ya Wanawake, imeleezwa kuwa pengo la usawa wa kijinsia kati ya mwanamke na mwanaume bado ni kubwa. Na kwamba hali hiyo ipo katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea.Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha-Rose Migiro ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa 54 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake.Ajenda kuu ya mkutano huo kwa mwaka huu, pamoja na mambo mengine, ni kufanya tathimini ya Tamko la mkutano wa nne wa Beijing na mpango wake wa utekelezaji. Mkutano uliofanyika mwaka 1995 rais wake walikuwa alikuwa Mhe, Getrude Mongela ambaye hivi sasa ni mbunge wa jimbo la Ukerewe ni mmoja ya washiriki wa mkutano huu.Mkutano huo wa wiki mbili umeanza siku ya jumatatu na unafanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, na kuhudhuriwa na wanawake akiwamo makamu wa rais wa Ghambia ambaye ni mwanamke, mawaziri, wabunge, makatibu wakuu na makundi kutoka asasi zisizo za kiserikali.Akitoa mfano, Migiro anaeleza kuwa bado idadi kubwa ya maskini ni wanawake kuliko wanaume, wasioujua kusoma au kuandika wengi ni wanawake kuliko wanaume, hata wanaofanya kazi katika mazingira magumu, kwa ujira mdogo na bila kinga au bima yoyote ni wanawake zaidi kuliko wanaume.Kama hiyo haitoshi, Naibu Katibu Mkuu anabainisha kuwa hata mtizamo kuhusu masuala ya wanawake bado ni hasi ingawa kuna mwamko kidogo, na kwamba utekelezaji wa mambo mengi bado unamtizamo wa kibaguzi. Huku kukiwa na utofauti kati ya upitishwaji wa sheria na utekelezaji wa sheria hizo.Anasema Migiro. “ Bado wanawake wengi ni maskini, wanaofanya kazi ngumu au za majumbani ni wanawake na watoto wakike , robo tatu ya wanawake hawajui kusoma wala kuandika na hali hii haijabalikia kwa zaidi ya miaka 20 sasa“.Kuhusu nafasi ya uwakilishi katika vyombo vya kutunga na kupitisha sheria, Migiro anasema kasi yake si ya Kuridisha kwani hadi mwaka 2009 ni nchi 25 tu ambazo zimeweza kufikisha lengo la kuwa na asilimia 30 ya wabunge wanawake.Kwa upande wa huduma za afya ya uzazi, Naibu Katibu Mkuu, anaeleza kwamba, bado ni eneo ambalo halijawa na nafuu yoyote, idadi ya vifo vitokanavyo na uzazi bado ni kubwa. vifo ambavyo siyo tu havipashwi kutokea lakini pia vinaweza kuzuilika.“ Kwa hiyo, wakati tunaona kuwa kuna dalili zuri za mafanikio mbalimbali kuhusu hali ya wanawake miaka 15 baada ya tamko la Beijing, ukweli ni kwamba bado hakuna mabadiliko ya kuridhisha na kujivunia.Pamoja na mapungufu hayo, Naibu Katibu Mkuu ametumia fursha hiyo kuwapongeza na kuwashukuru wanawake, katika nafasi zao mbalimali kwa kazi kubwa wanaoifanya ya ubinifu wa kuzishinikisha na kuziwajibisha serikali zao zitekeleze sera, sheria na mipango inayolenga kuleta usawa na uwezeshwaji wa wanawake.Akasema jitihada zao hizo zimeweza kulete mwamko na uelewa miongoni mwa viongozi wanawake kwa wanaume ya kuwa suala la usawa wa kijinsia na uwezeshwaji wa mwanamke na mtoto wa kike si jambo la kupita na badala yake ni moja ya nguzo muhimu katika upatikanaji wa maendeleo endelevu, ukuaji wa uchumi, amani na usalama.Akasema yeye na Katibu Mkuu Ban Ki Moon wamedhamiria kuhakikisha kwamba Umoja wa Mataifa unaweka mazingira bora yatakayoziwezesha serikali na asasi za kijamii kuhakikisha kuwa masuala ya usawa wa jinsia na uwezeshaji wa wanawake yanaingizwa katika Malengo ya Maendeleo ya Millenia ( MDGs).

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.