MZAZIIIII huyo mwenye flana nyekundu ndiye Dj Jay Dee kwa sasa Yupo akifanya makamuzi yake redio Times FM ya hapa Bongo (Pichani) ni leo muda mchache kabla aijafika saa moja usiku nilikuwa nachonga naye ukuakiendesha kipindi chake kinachotimua vumbi kitaa kitwacho Blast 100.5 Times nimeshuudia milazo live katika kipindi chake hicho.
HAPA kutoka kushoto ni mimi Machibya nikiwa na Dj Q katika sehemu ya Ndani Ofisi za Times FM leo majira ya mida ya kumi namoja flani hivi , tulichonga mengi kwani mimi ni mmoja wa mtuwake wa karibu sana tulishawahi kuhisika katika kufanya michongo mingi sana katika gemu
japo kuwa yeye ni mudau wa mda mrefu katika gemu , ila nacho shukuru kutoka kwake yeye ua ana roho ya kinyamwezi ile mbaya si mtu wa makuu.
Na michongo mingi ua ananipasia nafunga kwa kisigino ua ni kama kaka tu pindi tukikutana popote , yupo katika muda wa kuandaa programu redio Times FM muda si mrefu atakuwa amehama toka Magic FM.
Comments